top of page

Makubaliano ya Katiba
Karibu sana katika Tanzania Sharing Association, umoja unaotuunganisha watanzania kusaidiana katika shida na raha. Nikiwa Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa TSA, nakupongeza kwa kuwa mwanachama wa TSA. Tafadhali bofya alama ya logo iliyopo hapo juu ili uweze kusoma katiba iliyofanyiwa marekebisho na mkutano mkuu wa TSA mwezi March/June 2025 na kuanza kutumika rasmi April/Julai 2025. Baada ya kuisoma tafadhali jaza, na kuweka sahihi fomu ya makubaliano iliyopo hapa chini.
Ahsante,
​
Rose Lupiana
Mwenyekiti & Mkurugenzi mtendaji
bottom of page




