Mwaka Mpya 2025 na TSA Raha Club
- TSA HOUSTON

- Jan 4, 2025
- 1 min read
Usiku wa tarehe 31 Desemba kuamkia tarehe 1 January 2025 wanachama wa TSA Raha Club walikutana nyumbani kwa dada Eva kuukaribisha mwaka mpya. Mambo yalikuwa kama inavyoonekana kwenye picha. Watoto walifurahi mno. Heri ya mwaka mpya kwako pia.






































Comments