TSA Summer Annual Bash
- TSA HOUSTON

- Jul 9, 2025
- 1 min read
Tarehe 6 July 2025 Watoto wa TSA walijumuika na wenzao kusherehekea majira ya kiangazi kwa kuogelea na kucheza pamoja. Shughuli ilifana sana kama inavyoonekana kwenye picha. Uongozi wa TSA unawashukuru wote waliowezesha kufanikisha shughuli hii. Mungu awabariki




































Comments