Christer Mghamba 50th Birthday
- TSA HOUSTON

- Jul 3, 2022
- 1 min read
Updated: Jul 13, 2022
Tarehe 20 Juni 2022 wana TSA Raha Club walisherehekea siku ya kumbukizi ya kuzaliwa (birth day) ya makamu mwenyekiti wa TSA, Christer Mghamba ambaye ametimiza miaka 50. Kilele cha sherehe hiyo ilifanyika tarehe 3 Julai 2022 katika ukumbi wa Cheddar's Scratch Kitchen jijini Houston. Happy birthday Christer.












Comments