Happy Birthday - Mama Suzy Mosha
- TSA HOUSTON

- Dec 15, 2022
- 1 min read
Hivi karibuni TSA - Raha Club ilisherehekea kumbukizi ya kuzaliwa ya mama Suzi Mosha aliyetimiza miaka 70. Mambo yalikuwa moto kwelikweli. Kwa niaba ya TSA Raha Club tunamtakia mama yetu heri na baraka za siku ya kuzaliwa kwake. Mwenyezi Mungu amjalie miaka mingine elfu ya upendo, furaha na baraka tele. Happy Birthday mama.

































Comments