Hongela Nicole Irene Rweyemamu (Graduation)
- TSA HOUSTON

- Dec 30, 2022
- 1 min read


Kwa niaba ya wanachama na uongozi mzima wa TSA napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wazazi wa Nicole Irene Rweyemamu, Bwana na Bibi Victor Rweyemamu kwa kufanikisha mahafali ya binti yenu. TSA inajivunia kuwa na wazazi wa aina yenu. Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki na kuwainua.
Rose Lupiana
Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji


Comments