Hongera Alice Mayocha
- TSA HOUSTON

- Aug 6, 2021
- 1 min read

Kwa niaba ya bodi ya wadhamini ya TSA (BOT) na wanachama wote, tunampongeza Alice Mayocha kwa kuhitimu elimu ya sekondari (High School), na kuchaguliwa kujiunga na chuo kikuu. Akiwa mwanachama hai wa TSA Teens Club, Alice amekuwa mfano bora kwa vijana na watoto wengine walio chini yake. Kongole kwa Alice, na familia nzima ya Daudi na Beatrice Mayocha kwa mafanikio haya makubwa.

Comments