Hongera Chelsea Chilewa
- TSA HOUSTON

- Aug 6, 2021
- 1 min read

Kwa niaba ya bodi ya wadhamini ya TSA (BOT) na wanachama wote, tunampongeza Chelsea Chilewa kwa kuhitimu elimu ya sekondari (High School), na kuchaguliwa kujiunga na chuo kikuu. Akiwa mwanachama hai wa TSA Teens Club, Chelsea amekuwa mfano bora kwa vijana na watoto wengine walio chini yake. Kongole kwa Chelsea, na familia nzima ya Mch. George na Maridhia Chilewa kwa mafanikio haya makubwa.

Comments