Hongera Kwa Kuhitimu High School
- TSA HOUSTON

- Jul 1, 2023
- 1 min read
Mwezi June 2023 vijana wetu ..... walihitimu masomo yao ya shule ya upili (High School). Kwa nimba ya TSA Youth Club, Kids Club, uongozi, na wanachama wote wa TSA natoa salaam za pongezi kwa vijana wetu hawa kwa hatua kubwa waliyopiga. Pia natoa pongezi za dhati kwa wazazi, walimu na wote walioshiriki katika kufanikisha masomo yao. Tunawatakia kiła la kheri katika masomo yao ya juu na maisha kwa ujumla. Mwenyezi Mungu awabariki sana.






Comments