Kikao Cha Kamati ya Utendaji na Bodi ya Wadhamini Katika Picha
- Mwandishi Wetu
- Jun 26, 2021
- 1 min read
Mwezi April 2021 kamati ya utendaji ya TSA ikiongozwa na mwenyekiti na mkurugenzi mtendaji wa TSA, Rose Lupiana ilifanya kikao cha pamoja na Bodi ya wadhamini ya TSA inayoongozwa na Eva Ernest. Kikao hicho kilijadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya kikundi pamoja na kupitia mapendekezo ya katiba mpya. (Picha kwa hisani ya wajumbe wa kikao)





Comments