Maandalizi ya TSA kwa Vijana
- TSA HOUSTON

- Jun 26, 2021
- 1 min read
TSA kwa kushirikiana na wazazi/walezi wa watoto wa wanachama wa kikundi inaandaa proglamu kabambe kwa ajili ya watoto wote . Proglamu hiyo inayojulikana kama TSA Kids and Friends Summer Program itakayohusisha vijana wenye umri kati ya mwaka mmoja hadi miaka 12 itafanyika tarehe 3 Julai 2021kuanzia saa nne asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni (10:00 am - 6:00 pm) kwenye anuani hii: McClendon Park Houston, Texas 77082. Kwa taarifa zaidi (R.S.V.P) wasiliana na Stela kwa simu namba 832 531 5551.


Comments