Mambo ya TSA
- Mwanamuziki wa TSA
- Jun 24, 2021
- 1 min read
Updated: Jun 26, 2021
Tanzania Sharing Association inaamini katika maisha ya furaha, amani na baraka tele. Ndiyo maana imeunda club maalum ya kuwashirikisha wanachama wake katika shughuli mbalimbali za raha. Klabu hii ya hiari ni kwa ajili ya wanachama wanaopenda kushiriki katika raha mbalimbali za kijamii kwa mujibu wa sheria walizojiwekea wenyewe. Wanachama hujumuika mara kwa mara kufurahi pamoja kwenye sherehe mbalimbali hususan harusi, baby showers, birthdays, bridal showers na kadharika.




Comments