Raha Club - Yasherehekea Kumbukizi ya Kuzaliwa Kwa Rose
- TSA HOUSTON

- Feb 4, 2022
- 1 min read
Hiki karibuni wanachama wa Raha Club walijumuika pamoja kusherehekea kumbukizi ya kuzaliwa (birthday) Rose Lupiana, mwenyekiti na mkurugenzi mtendaji (CEO) wa TSA. Sherehe ya kumbukizi hiyo ilifanyika katika hoteli maarufu Fogo de Chao iliyopo jijini Houston. Raha Club ni mojawapo ya vikundi vidogo (clubs) vilivyo chini ya TSA.






















Comments