Raha - Ndani ya Raha Club
- TSA HOUSTON

- Aug 21, 2021
- 1 min read
Tarehe 6 August 2021 dada Eva Ernest, mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya TSA (BOT) aliadhimisha siku yake ya kuzaliwa. Kufuatia tukio hilo wanachama wa Raha Club waliungana naye kufanya sherehe ya aina yake kumpongeza. Mambo yalikuwa kama picha zinavyojionesha hapa chini.

















Comments