SAFARI YA SUMMER WATER PARK
- TSA HOUSTON

- Jul 30, 2021
- 1 min read

It’s now time for *Teens* (13 – 20) na tunawakaribisha wote kwenye *TSA Teens & Friends Summer Event itakayofanyika *Saturday, August 14th.* Teens wote watapelekwa *Pirates Bay Waterpark* na tunaomba wazazi kuchangia *Ticket ambayo ni $25 each*.
*TSA & Sponsors watachangia Transportation, Food & Drinks*
Kwa wazazi watakaopenda (teens) watoto wao kuhudhuria basi tunaomba majina ya watoto, na pesa ya kununulia ticket kwaajili ya kiingilio cha water park by *August 7th*
Tunaweza tuma michango yetu kwa
Cashapp: $CMZ0221
Phone & Name: 832-541-2554 / Christer Mghamba
Zelle: 832-884-4222
Name: Rose Lupiana
*Note* Siblings wanakubalika iwapo wataweza kucheza wenyewe bila mtu wakuwaangalia kwa umakini.
*Asanteni - TSA Uongozi*

Comments