Sauti za Afrika - TSA Youth Gala
- TSA HOUSTON

- Aug 5, 2023
- 1 min read
Updated: Aug 12, 2023
Tarehe 30 Julai 1990 ilifanyika sherehe maalumu ya kuwapongeza vijana wetu. Sherehe hiyo iliyojulikana kama Sauti za Afrika Gala iliandaliwa na klabu ya vijana wa TSA kwa kushirikiana na uongozi mzima wa TSA. Vijana walioshiriki walipata nafasi ya kuzungumza, kucheza muziki, kula pamoja, na kusikiliza nasaha kutoka kwa wazazi na wageni waalikwa. Mambo yalikuwa kama ifuatavyo:

































































































































Comments