top of page
Search

Sherehe ya TSA

Tarehe 12 Desemba 2021 wanachama wote wa TSA walikutana katika TSA GALA iliyoandaliwa kusherehekea umoja na ushirikiano wa wanakikundi. sherehe hiyo ni mojawapo ya shughuli mbalimbali za raha na burudani zinazofanywa na wana TSA kila mwaka. TSA iliwaalika baadhi ya viongozi wa jumuia ya watanzania waishio Houston kushiliki katika sherehe hiyo kwa niaba ya watanzania wote wasio wanachama. Kujiunga na TSA tembelea website yetu www.tanzsa.org



 
 
 

Recent Posts

See All
TSA Summer Annual Bash

Tarehe 6 July 2025 Watoto wa TSA walijumuika na wenzao kusherehekea majira ya kiangazi kwa kuogelea na kucheza pamoja. Shughuli ilifana...

 
 
 
Mwaka Mpya 2025 na TSA Raha Club

Usiku wa tarehe 31 Desemba kuamkia tarehe 1 January 2025 wanachama wa TSA Raha Club walikutana nyumbani kwa dada Eva kuukaribisha mwaka...

 
 
 

Comments


bottom of page