Sherehe ya Watoto wa TSA
- TSA HOUSTON

- Jul 3, 2021
- 1 min read
Updated: Jul 9, 2021
Tarehe 3 Julai 2021 klabu ya watoto wa TSA iliandaa shughuli maalum iliyowakutanisha watoto wenye umri chini ya miaka 12. Katika shughuli hiyo watoto walishirikiana na wazazi katika michezo mbalimbali ikiwa pamoja na mpira wa miguu, mpira wa rede, kukimbia na kijiti, kukimbia na magunia na kadharika. Mambo yalikuwa moto kama inavyoonekana kwenye picha na video zilizopo hapa chini.






















Comments