Sherehe ya Watoto wa TSA - Majira ya Kiangazi 2022
- TSA HOUSTON

- Jun 15, 2022
- 1 min read
Updated: Jun 15, 2022
Tarehe 12 Juni 2022 watoto wa TSA, na marafiki zao walikutana kucheza pamoja, kufurahi na kujifunza mambo mbalimbali ya kitanzania. Shughuli hii iliandaliwa na uongozi mzima wa TSA chini ya mwenyekiti na mkurugenzi mtendaji wake Bi Rose Lupiana, makamu mwenyekiti Bi Christer Mghamba, Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini Bi Eva Ernest, kiongozi wa Kids Club Bi Stella Eddington. Kwa niaba ya TSA tunawashukuru wote waliojitoa kwa hali na mali kufanikisha shughuli hii muhimu. Mambo yalikuwa kama inavyoonekana pichani.



































































































































Love to see this!! Well done TSA!!
Job well done