Sherehe ya Watoto wa TSA Majira ya Kiangazi 2024 Katika Picha
- TSA HOUSTON

- Jul 15, 2024
- 1 min read
Updated: Jul 24, 2024
Tarehe 30 Juni 2024 watoto na vijana wa TSA walikutana kwa ajili ya kusanyiko la kawaida la majira ya kiangazi. Watoto waliohudhuria walipata nafasi ya kubadilishana mawazo, kucheza na kushindana katika michezo mbalimbali ya kitamaduni. Mambo yalikuwa mazuri kama inavyojionesha kwenye picha.


























































































Comments