Sherehe za Uhuru wa Tanzania
- TSA HOUSTON

- Dec 13, 2023
- 1 min read
Tarehe 9 Desemba 2023 watanzania waishio Houston na vitongoji vyake walikutanika kuadhimisisha siku ya uhuru wa Tanzania. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na wana TSA kwa kushirikiana na wadau mbalimbali yalienda sambamba na chakula cha jioni, vinywaji, ngoma za asili na muziki wa kizazi kipya. Mambo yalikuwa kama inavyoonekana katika picha hapa chini:












































































































































Comments