Siku ya Watoto wa TSA - Summer Program
- TSA HOUSTON

- May 16, 2022
- 1 min read

Tarehe 12 ya mwezi Juni 2022 watoto wa TSA pamoja na marafiki zao watakutanika kucheza pamoja, na kusherehekea majira ya kiangazi. Shughuli hii itafanyika McClendon Park, Houston TX 77077. Vijana wote wenye umri kuanzia mwaka mmoja hadi miaka kumi na miwili wanakaribishwa kushiriki. Kwa maelezo zaidi wasiliana na Stella kwa simu namba (832) 531-5551. Tafadhali usipange kukosa.

Comments