Siku Ya Watoto Wa TSA (TSA Fun Day)
- TSA HOUSTON

- Jun 20, 2023
- 1 min read
Updated: Jun 26, 2023
Tarehe 18 Juni 2023 klabu ya watoto wa TSA iliandaa siku maalum ya kuwakutanisha watoto na vijana wa TSA. Watoto walipata nafasi ya kuzungumza, kucheza pamoja, na kujifunza mambo mbalimbali ya kitanzania. Ilikuwa siku ya furaha sana kwa watoto kama inavyoonekana katika picha hapa chini.





























































































Comments