TANGAZO LA MSIBA
- TSA HOUSTON

- Oct 16, 2021
- 1 min read

Familia ya mwanachama na kiongozi wa TSA (TSA RAHA CLUB) Bi Josephine Kuyangana inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao mpendwa Humphrey Magwira kilichotokea Houston, Texas jana tarehe 15 October 2021 kwa ajali ya gari na kupigwa risasi. Mfiwa anapatikana katika address ifuatayo:
8214 Elmsford Court
Houston, Texas 77083
Simu: 832 853 0303
Kwa taarifa zaidi kuhusu msiba huu wasiliana na:
Emiliana Kuyangana
Simu namba 713 584 7452
Exuperius Magwira
Simu namba 832 213 8221

Bwana alitoa nae ametwaa jina lake lihimidiwe.

Comments