Teens Water Park Event - Katika Picha
- TSA HOUSTON

- Aug 20, 2021
- 1 min read
Tarehe 12 August 2021 vijana wa TSA Teens Club waliungana na wenzao kutoka sehemu mbalimbali kucheza na kufurahi pamoja katika Water Park. Shughuli hiyo iliyoandaliwa na TSA na kugharimiwa na wadhamini mbalimbali ilifanyika kwa mafanikio makubwa kama inavyojionesha kwenye picha zilizowekwa hapa chini.



















Comments