TSA - 3rd Annual Gala Photos (2)
- TSA HOUSTON

- Dec 16, 2022
- 1 min read
Updated: Dec 19, 2022
Tarehe 10 Desemba 2022 Tanzania Sharing Association ilifanya tafrija maalum kwa ajili ya kujipongeza, na kumshukuru Mungu kwa hatua iliyofikiwa. Tafrija hii ni ya tatu tangu kuanzishwa kwa utaratibu huu mwaka 2020. Kama kawaida wanachama walipata wasaa wa kubadilishana mawazo, kula pamoja, kufurahi na kucheza muziki. Mambo yalikuwa kama inavyojionesha kwenye video na picha zilizowekwa hapa chini.
SHUKRANI KWA WADHAMINI WA TSA 3rd ANNUAL GALA

























































































































































































Comments