TSA GALA 2022
- TSA HOUSTON

- Sep 3, 2022
- 1 min read
Mwenyekiti na mkurugenzi mtendaji wa TSA Bi Rose Lupiana, kwa niaba ya uongozi mzima wa TSA anapenda kuwafahamisha kwamba sherehe yetu ya mwaka 2022 (3rd ANNUAL TSA GALA) itafanyika tarehe 10 Desemba 2022 kuanzia saa moja usiku (7:00 PM CT) kwenye ukumbi wa The Elegance Banquet Hall uliopo 700 West Oaks Mall, Houston, Texas 77082. Ili kufanikisha shughuli hiyo uongozi wa TSA unaomba kila mtu atakayependa kuhudhuria Gala hiyo kuchangia (kiingilio) cha $50 tu. Kwa maelezo zaidi wasiliana na uongozi wa TSA. Tunatanguliza shukrani.


Comments