TSA na Muziki...
- Mwanamuziki wa TSA
- Jun 25, 2021
- 1 min read
Mojawapo ya vitu tunavyovikosa katika maisha ya ugenini ni muziki wa kiafrika na shamrashamra za nyumbani. Muziki unatukumbusha kwetu na kutufanya tusisahau thamani ya utamaduni wetu. Leo tuko jijini Kinshasa tukimkumbuka mkongwe Tabu Lay...

Comments