TSA na Muziki...
- Mwanamuziki wa TSA
- Jun 24, 2021
- 1 min read
Updated: Jun 26, 2021
Mojawapo ya vitu tunavyovikosa tukiwa ugenini ni muziki na shamrashamra za nyumbani. Muziki unatukumbusha asili yetu na kutukumbusha tulikotoka. Leo tuko jijini Kinshasa tukiwakumbusha vijana wa zamani mzee Madilu System....

Comments