Youth Spring Break Dinner
- TSA HOUSTON

- Mar 20, 2023
- 1 min read
Tarehe 19 March 2023 vijana wa TSA walijumuika kuzungumza na kula chakula cha jioni pamoja. Shughuli hiyo ilifanyika kwenye restaurant maarufu iitwayo Los Cucos inayopika vyakula vya asili ya Mexico. Mambo yalikuwa moto kama inavyojionesha hapa chini. Uongozi wa TSA unawashukuru wazazi na wanachama wote waliojitolea kufanikisha shughuli hiyo. Mungu awabariki sana.

























Comments